Utachagua sasa
Kukoma au kukomaa
Ba finest mtoto wa Baba (Maarifa)
Aah
Hawaulize habari ni gani
Kwa kuwa tayari wanafaa wahabari ni nani
Habari maarifa, hatari kabisa Ata muwe muogopevu
Wapo ambao wanaonielewa mpaka hawajielewi
Kuhusu kwazo kibaa na kwazo kitaa nikwambie jamaa
Maisha yazingua sa vitu nichagulie silaha
Kuhusu timamu, mi timamu ila bado hawajajua watu
Hata umvishe gamba mjusi hageuka kuwa chatu
We funga, si wanakufungia, we funga Ni Mungu tu,
atanyoosha we kunja
Niskize genius, alafu nielewe Shida zaeza kumyeyusha hadi barafu wa moyo
Nimejipanga, mke nitampiga na upande wa kanga
Ukiwa mnafiki inakuhusu upande wa panga
Na wamesanda, ni upande michaa alafu ugande panga
Na hii ni noma ka umechepuka na mke wa mganga
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)
Ni mchapa kazi mwenye kazi ya kuchapa
Nachapa ila si kila kazi, kuna kazi za kuacha
Si umenipata?(oooh) Kila kazi utadharauliwa (aha)
So usiye na kazi, kila ukibuy utaparamiwa
Mi ni msafi, pilka za dharau jigamso
Pia ma’ pilka michoro vigaso Nyi nyie hapo shikeni mapembe na mtang’oa ng’ombe
Hamwongei fit , leo mwanaharamu unafunua kombe
Niko vizuri kwa window na mizuri mitindo
Wanawake hawana msaada ka kivuli cha fimbo
Nakaza misuli mashuhuri, si umenipata vizuri
Acha niwazike tu, maana maiti haichagui kaburi
Maa we Hii ni moto na fikra zake na hii iko moja Tamu sichana na bikra yake
Wanawake wa sasa wakiamua bila sababu ila watakonda
Wako kama makwapa yaani wananuka bila ya kidonda
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh Nakutunza inaruhusiwa
(eeh babu we nakutunza inaruhusiwa)
Habari ni hii , kwani nyinyi mlitarajia nini
Mimi nakamata mikwanja pale wanapokamatia chini
Wataniambia nini?
Hata wakirudi wakajipange Mimi nitavuta hela si wameamua wavute bangi
Waleta sepeku mapepe Wakwachu wa kwetu walete
Wasije sababisha maseke Ukawakundisha mateke
Wapo wanafahamu hii karibu ukae
Na ili ujue uchungu wa mwana, jaribu uzae
Aibu ukishadharaulika, hauwezi tembea na zana
Masai tembea na rungu Vicheche tembea na bwana
Ili upate uja uzito alisema songa bwana
Ni mwendo tu Msiwe mnachonga chonga watu
Wanataka zifanye na wameshindwa kuongelea
Wamevunja daraja na wanashindwa kuogelea
Na ka kuongea Ongeeni mpaka mtajuta kwetu Kwani mwizi hapigwi anasemwa anakufa
The post Maarifa – Nakutunza Inaruhusiwa Ft. Madee Lyrics appeared first on Obake Band.
No comments:
Post a Comment