Oooh nanananana…ooh yeah
Sultan 001
Nah nah nah nah…oooh
Nimeacha pengo, bila ni wako upendo
Umenipa nuru, umenitoa gizani
Sina maelezo, nimeishiwa uwezo
Na mwomba aliye juu, anitoe kitandani
Nikawazaje? Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika
Oooh yeah, baba ni wewe
Oooh baba yangu, baba ni wewe
Oooh mungu wangu, baba ni wewe
Oooh mola baba eeeh, baba ni wewe
Oooh naona miujiza
Siamini moyo ndo najiuliza, ni mimi?
Walelo waliza
Kwa dua zao wakasimama na mimi
Nikawazaje? Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika
Oooh yeah, baba ni wewe
Oooh baba yangu, baba ni wewe
Oooh mungu wangu, baba ni wewe
Oooh mola baba eeeh, baba ni wewe
Hakuna kama wewe mola baba
Hakuna kama wewe mola baba
Alpha na omega…ye…yeah
Alpha na omega…ye..yeah..yeah
Nah nah nah nah nah….
Baba ni wewe…baba wewe ye..ye..yeah
Baba ni wewe…mola baba baba yeah..
Baba ni wewe..baba wewe ye..ye..yeah
Baba ni wee…mola baba baba yeah Mola wewe yeah yeah Baba yeah yeah …..
The post Ommy Dimpoz – Ni Wewe Lyrics appeared first on Obake Band.
No comments:
Post a Comment